JISAJILI BONASI YA 100% ("PROMOSHENI")

  • Promosheni hii ni maalum kwa wateja wapya ambao wataweka ubashiri wa kwanza kwa pesa taslimu na kubeti kwenye michezo ya Sportsbook ( ya kabla ya mechi na mechi za Live ) kupitia Tovuti, App, Menyu ya kubeti na SMS.
  • Bashiri zinazofuzu” katika kipindi cha promosheni zimeainishwa kama ifuatavyo.

JINSI INAVYOFANYA KAZI

  • Mteja mpya atatakiwa kujisajili na kuweka pesa kwa mara ya kwanza katika akaunti yake ya Betika kwa kiwango cha angalau kuanzia Tsh 500.
  • Idadi ya odds zinatakiwa kuwa kuanzia 3.99.
  • Kiwango cha chini cha dau la pesa taslimu kwenye ubashiri lazima kianzie angalau Tsh. 500.
  • Kiwango cha juu cha ushindi kwenye promosheni hii kitakuwa Tsh. 1,000,000/-.
  • Matukio ya michezo ya Sportbook pekee yatafuzu kwenye promosheni hii.

VIGEZO NA MASHARTI

  • Mteja hatoweza kutumia bonasi kuweka beti mpaka mkeka wake uwe na odds kuanzia 3.99 na zaidi.
  • Ushindi wote uliopatikana kutokana na beti zinazostahili utaongezwa kwenye salio la pesa la mteja kwenye akaunti yake ya Betika.
  • Bonasi hii itapatikana kwa muda wa siku saba tu (7) kutoka siku ya kwanza mteja mpya alipojisajili ndani ya Betika na siku hizo zikipita, utakuwa ni mwisho wa ofa hii kwa mteja husika.
  • Ni wateja wapya pekee ndiyo watakaostahili bonasi ndani ya promosheni hii.
  • Akaunti zilizopo ambazo hazijawahi kuweka pesa au kufanya ubashiri hapo awali hazitastahili ofa katika promosheni hii.
  • Wanufaika wa promosheni hii watakuwa ni wale walioweka ubashiri wa mara ya kwanza wenye dau linaloanzia Tsh 500 na kiasi cha odds kinachoanzia 3.99 au zaidi.
  • Promosheni inaweza kukudai anwani moja tu ya IP au matumizi ya kifaa kimoja tu kwa kila kaya
  • Akaunti nyingi kwa mpigo za mtu mmoja hazitastahili bonasi hii na ushindi wote utafutwa ikiwa itahusishwa kwa moja ya mambo yaliyotajwa hapo juu.
  • Washindi wanaweza kuwasiliana na Betika kupitia nambari yao ya simu iliyosajiliwa na watatakiwa kutoa uthibitisho wa kitambulisho na nyaraka za uthibitisho zinazohitajika. Ikiwa mteja/mshindi atashindwa kutekeleza ombi la nyaraka au ikagundulika kwamba mteja alihusika katika Kitendo kilichopigwa Marufuku (kama ilivyoelezwa katika vigezo na Masharti yetu ya Kawaida), mteja hatofuzu katika promosheni na ushindi wote utafutwa.
  • Betika ina haki ya kutoa ombi kwa mamlaka husika kuthibitisha hati za utambulisho zilizowasilishwa. Uthibitisho na kukubaliwa kwa nyaraka hizo utakuwa uamuzi wa Betika pekee.
  • Betika ina haki ya kutumia majina, rekodi za sauti zitakazotumika radioni, motion, picha mgando za mshindi wa promosheni kwa lengo la kujitangaza kupitia kampeni za masoko, na usimamizi wa promosheni.
  • Bashiri za Kombi, Bashiri za Jackpot, Bashiri zisizofaa, na ubashiri uliofutwa hazitastahili ofa katika promosheni hii.
  • Endapo kama kutatokea mzozo kuhusu promosheni hii, uamuzi wa Bodi ya Michezo ya Bahati nasibu ya Tanzania utakuwa wa mwisho.
  • Betika haitoi dhamana ya upatikanaji wa promosheni kwenye vifaa na njia zote au upatikanaji wake wakati wote. Betika ina haki ya kufuta au kubadilisha promosheni wakati wowote.
  • Ikitokea mfumo wa Betika umetengeneza bonasi au ushindi uliozidi kiwango cha juu kilichowekwa kiwango kilichozidi kitakuwa ni batili na siyo halali kulipwa. Betika haitakubali jukumu lolote liliosababishwa na makosa ya mfumo.
  • Betika ina haki ya kufuta ushindi wowote, kwa hiari yake , na itachukua hatua stahiki katika hali yoyote ikiwa ni pamoja na:
    • Mfumo au kosa la programu; au
    • Kushtakiwa kuwa kuna vitendo vilivyopigwa marufuku vimefanyika.
  • Kwa kesi ya kutokea kwa Vitendo Vinavyopigwa Marufuku au shaka juu ya jambo hilo, Betika inaweza kuchukua hatua yoyote inayoonekana ni muhimu, ikiwa ni pamoja na kufuta ushindi au shughuli, kusimamisha akaunti, kizuizi cha uondoaji, na / au kuzuia anwani ya IP.
  • Vigezo na masharti vya promosheni hii vinaweza kubadilishwa bila taarifa wakati wowote na Betika kwa hiari yake pekee.
  • Promosheni imetolewa “kama ilivyo”, bila dhamana ya aina yoyote, wa kueleza au kudokezwa, ikijumuisha bila kikomo, dhamana ya jina, kutokiuka, kutoingiliwa, usahihi wa data, usahihi wa tafsiri, upatikanaji, muda, uuzaji. , kufaa kwa madhumuni mahususi, kando na zile dhamana ambazo zinadokezwa na ambazo hazina uwezo wa kutengwa, vikwazo, au marekebisho chini ya sheria zinazotumika kwa Sheria na Masharti na Sera ya Faragha ya Jumla ya Betika.
  • Promosheni hii inategemea Sheria na Masharti ya Jumla yanayopatikana hapa (here).