PROMOSHENI YA MAREJESHO YA DAU LA PESA TASLIMU KWA ASILIMIA 10,000%

Jinsi Inavyofanya Kazi

  • Promosheni itaendeshwa kutoka tarehe 20 Agosti 2024.
  • Promosheni hii inawahusu wateja wapya na waliopo wa Betika na inakupa fursa ya kushinda dau lako la pesa kulingana na hasara zako kwenye dau za michezo.
  • Promosheni hii inawahusu wateja wanaoweka dau za pesa taslimu zenye angalau machaguo mawili (2) kwenye kila bashiri ya dau kwenye matukio ya michezo (kabla ya mechi na michezo ya live) na chaguo moja (1) pekee lililopoteza (“Wateja Wanaostahili”).
  • Wateja Wanaostahili watarudishiwa dau lao la pesa hadi mara 10,000% ya kiasi cha dau la pesa. Kwa mfano, dau la pesa la Tsh. 600 na umepoteza chaguzi moja na jumla ya odds zote zilizobaki ni 925. Utapata marejesho ya pesa ya Tsh. 600 x 10,000% = Tsh. 60,000.
  • Vigezo vya tuzo vitakuwa kama ifuatavyo;
Nafasi za ushindi za chini kabisa (baada ya kupoteza chaguo moja) Marejesho ya dau la pesa
25+ Dau x 1
40+ Dau x 2
60+ Dau x 3
90+ Dau x 5
450+ Dau x 10
750+ Dau x 60
900+ Dau x 100
  • Marejesho ya pesa yatawekwa moja kwa moja kwenye Wallet ya Betika ya mteja aliyeshinda na inaweza kutolewa kwa hiari ya mteja.
  • Kiasi cha juu kabisa cha tuzo katika Promosheni hii kimewekwa kuwa Tsh. 2,000,000 bila kujali dau lako au odds za ushindi.

Vigezo Na Masharti

  • Promosheni itahusu bashiri yote iliyowekwa kwenye sportbook kwa pesa taslimu kwenye michezo pekee zilizowekwa kwenye njia za Betika zinazostahili.
  • Wateja hawana kikomo cha idadi ya dau wanazoweza kuweka ili kustahili Promosheni hii.
  • Michezo iliyofutwa na dau zilizouzwa kabla ya muda hazitastahili kwa Promosheni.
  • Pale ambapo kuna mgogoro kuhusu matokeo ya ushindi, uamuzi utakaofuatwa ni ule wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (“GBT”).
  • Betika ina haki ya kuomba na kuthibitisha, kwa mamlaka husika, hati yoyote ya utambulisho inayohitajika kabla ya kutoa Malipo.
  • Endapo mfumo utaibua ushindi zaidi ya kikomo kilichoruhusiwa, kiasi chochote kilichozidi kikomo hicho kitazingatiwa kuwa batili na si halali kwa malipo.
  • Betika ina haki ya kufuta ushindi wowote, kwa hiari yake, na itachukua hatua stahiki katika hali yoyote ikiwa ni pamoja na:
    • Mfumo au kosa la program; au
    • Kushtakiwa kuwa kuna vitendo vilivyopigwa marufuku vimefanika.
  • Iwapo kutatokea shughuli zozote zilizopigwa marufuku, Betika inaweza kuchukua hatua zozote inazoona zinafaa katika hali hiyo, ikiwa ni pamoja na lakini sio tu kubatilisha ushindi au miamala yoyote, kusimamisha akaunti, kuzuia miamala ya kutoa pesa, na/au kuzuia anwani ya IP.
  • Betika haitoi dhamana ya upatikanaji wa promosheni hii kwenye vifaa na njia zote au upatikanaji wake wakati wote.
  • Betika haitoi dhamana ya upatikanaji wa Promosheni hii kwenye vifaa na njia zote au upatikanaji wake kila wakati.
  • Sheria za promosheni hii zinaweza kurekebishwa wakati wowote na Betika kwa uamuzi wake pekee na bila taarifa.
  • Promosheni hii inazingatia vigezo na masharti ya jumla yanayopatika hapa, na masharti ya jumla ya Betika inayopatikana hapa. Basi iwapo kutatofautiana kati ya masharti haya na masharti ya betika, basi matokeo ya mwisho ndo yatakayo tumika.