BETIKA VIRTUALS 40% BONASI YA ACCA

Jinsi Inavyofanya Kazi

  • Weka dau la multi-bet lenye machaguo ya chini matatu (3) hadi kiwango cha juu cha machaguo kumi (10) kwenye ligi za mpira wa miguu za virtuals na michuano zilizoorodheshwa hapa chini, na uwe na nafasi ya kushinda hadi 40% zaidi kwenye ushindi wako halisi.
  • Bonasi hii imezuiliwa kwa machaguo ya dau la mpira wa miguu ya ligi za Virtuals zifuatazo:
    • Ligi ya Uhispania
    • Ligi ya Italia
    • Ligi ya Ujerumani
    • Ligi ya Uingereza
    • Kombe la Dunia Qatar 22
    • Kombe la Mataifa ya Afrika
    • Mashindano ya Mabingwa wa Ulaya
    • Kombe la Ulaya 2024
  • Mteja lazima awe na mkeka wa multi-bet ulioshinda ili kustahili bonasi. Bashiri zote lazima zishinde ili kustahili ofa hii ya bonasi.

Vigezo Na Masharti

  • Idadi ya chini ya machaguo yanayostahili kupata bonasi ya ACCA ni 3.
  • Idadi ya juu ya machaguo yanayostahili kupata bonasi ya ACCA ni 10.
  • Kiwango cha chini cha dau ni Tsh 100.
  • Kiwango cha juu cha dau ni Tsh 50,000.
  • Malipo ya juu zaidi yakiwemo ushindi ulioboreshwa kutokana na ofa hii ya bonasi ni Tsh 1,000,000 bila kujali kiasi cha dau au odds.
  • Endapo mfumo utatoa ushindi zaidi ya kikomo cha juu kilichoruhusiwa, kiasi chochote kinachozidi kikomo hiki kitachukuliwa kama batili na hakitadhibitishwa kulipwa.
  • Idadi ya Michezo % Bonasi
    1 -
    2 -
    3 5%
    4 10%
    5 15%
    6 20%
    7 25%
    8 30%
    9 35%
    10 40%
  • Endapo mteja ana namba zaidi ya moja iliyosajiliwa kwenye mifumo yetu ya mtandaoni na simu, ni namba moja pekee itakayostahili kupata Bonasi ya ACCA.
  • Betika ina haki ya kubatilisha ushindi wowote kwa uamuzi wake pekee na kuchukua hatua za kurekebisha pale ambapo:
    • Kuna hitilafu ya mfumo au programu; au
    • Kuna tuhuma kuwa kuna Shughuli Zilizokatazwa zinafanyika.
  • Sheria hizi ni mahususi kwa ajili ya Bonasi ya ACCA pekee.
  • Iwapo kutakuwa na mgogoro kuhusu uchaguzi wa washindi, uamuzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania utakuwa wa mwisho.
  • Betika haidhamini upatikanaji wa Bonasi ya ACCA kwenye vifaa vyote au njia zote, wala upatikanaji wake kwa wakati wote.
  • Bonasi hii ya ACCA inatolewa "kama ilivyo", bila dhamana ya aina yoyote, iwe wazi au inayodokezwa, ikiwa ni pamoja na bila kikomo, dhamana ya umiliki, kutovunja haki, kutovuruga, usahihi wa data, usahihi wa tafsiri, upatikanaji, muda, uuzaji, kufaa kwa madhumuni maalum, isipokuwa kwa zile dhamana ambazo haziwezi kutengwa, kuwekewa mipaka, au kubadilishwa chini ya sheria zinazotumika kwa Sheria na Masharti ya Jumla ya Betika na Sera ya Faragha.
  • Bonasi hii ya ACCA inategemea Vigezo na Masharti ya Jumla (ikiwemo sera zote zinazotumika) zinazopatikana hapa. Iwapo kutakuwa na mgongano kati ya sheria hizi za promosheni na sheria za jumla, sheria za jumla zitatumika.
  • Endapo Shughuli Zilizokatazwa zitafanyika, Betika inaweza kuchukua hatua inazoona zinafaa kwa hali hiyo, ikiwa ni pamoja na kubatilisha ushindi wowote au miamala, kusimamisha akaunti, kupunguza uondoaji pesa, na/au kufungia anuani za IP.