Promosheni hii itaanza tarehe 11 Septemba 2024 kwa muda maalum.
Ofa hii inahusu wachezaji wapya na waliopo.
Promosheni hii itatumika kwenye bashiri zilizowekwa kwenye michezo yoyote ya sloti, lakini haitatumika kwa bashiri za bonasi au bashiri za bure, wala kwa kushirikiana na promosheni au ofa nyingine.
Wateja watakaostahili watapata 10% ya marejesho ya hasara za pesa zilizopatikana ndani ya kipindi cha siku 7 kinachoanzia Jumatano saa 0000 hadi Jumanne saa 2359 kila wiki wakati wa promosheni.
Kiwango cha chini na cha juu cha marejesho ya pesa ni Tsh. 1,000 na Tsh. 500,000 kwa mtiririko huo.
Marejesho ya 10% yanatokana na jumla ya hasara ya wateja ambapo hasara inamaanisha jumla ya kiasi cha pesa kilichowekwa bashiri pungufu ya kiasi cha jumla cha fedha zilizorejeshwa kwenye michezo ya sloti.
Marejesho ya pesa yataingizwa kwenye akaunti ya pesa ya mteja kila Jumatano. Fedha zilizorejeshwa zinaweza kutolewa bila vizuizi vyovyote au kutumika kuweka dau nyingine
Masharti na Vigezo vya Matumizi
Hakuna kikomo cha juu cha idadi ya bashiri za casino mteja anaweza kuweka ili kushiriki kwenye promosheni hii.
Wateja waliostahili wanapaswa kutumia akaunti moja tu ya Betika chini ya promosheni hii. Wateja waliostahili watakaotumia akaunti zaidi ya moja kwa promosheni hii hawatastahili marejesho ya pesa, na hatua hiyo itachukuliwa kuwa Shughuli Iliyokatazwa kwa mujibu wa Masharti na Vigezo ya Jumla.
Pale panapokuwa na mgogoro kuhusiana na promosheni, uamuzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania utakuwa wa mwisho.
Betika inahifadhi haki ya kutumia majina, rekodi za redio, picha za video na picha za washindi kwa madhumuni ya matangazo, kampeni za uuzaji, na uendeshaji wa promosheni hii
Masharti na vigezo vya mchezo wa casino vitatumika katika usimamizi wa promosheni hii.
Pale ambapo mfumo kwa bahati mbaya utazalisha ushindi wa zaidi ya kiwango cha juu kilichoruhusiwa, kiasi chochote kilicho juu ya kikomo hiki kitachukuliwa kuwa batili na hakitastahili kulipwa.
Betika inahifadhi haki ya kufuta ushindi wowote kwa hiari yake, na kuchukua hatua zozote zinazohitajika katika hali zifuatazo:
Hitilafu ya mfumo au programu; au
Shaka kuwa kuna Shughuli Iliyokatazwa inayoendelea.
Betika haidhamini upatikanaji wa promosheni hii kwenye vifaa vyote na njia zote, au upatikanaji wake wakati wote.
Masharti ya promosheni hii yanaweza kubadilishwa, kufutwa au kusitishwa wakati wowote na Betika kwa hiari yake bila taarifa
Ikitokea Shughuli Iliyokatazwa, Betika inaweza kuchukua hatua yoyote inayoona inafaa katika mazingira hayo, ikiwemo kufuta ushindi wowote au miamala, kusimamisha akaunti, kupunguza uondoaji wa fedha, na/au kuzima anwani ya IP.
Promosheni hii inatolewa "kama ilivyo," bila dhamana ya aina yoyote, iwe ya wazi au iliyowekwa, ikiwemo bila kikomo, dhamana ya umiliki, kutovunja haki, kutokuwa na usumbufu, usahihi wa data, upatikanaji, muda, ubora wa bidhaa, kufaa kwa lengo maalum, zaidi ya dhamana ambazo haziwezi kuondolewa kwa mujibu wa sheria zinazotumika kwenye Masharti na Vigezo ya Jumla na Sera ya Faragha ya Betika
Promosheni hii inategemea Masharti na Vigezo ya Jumla yanayopatikana hapa. Pale ambapo kuna kutofautiana kati ya masharti haya au Masharti na Vigezo ya Jumla, Masharti na Vigezo ya Jumla yatatumika